Habari za Mastaa

Olamide amerudi na single mpya “Lagos Boys!” (Audio)

on

olamide

Msanii wa Nigeria kutoka kwenye lebo ya YBNL Olamide siku chache zilizopita alidondosha kichupa chake cha Shakiti Bobo kilichofanya vizuri, lakini hajaishia hapo leo msanii huyu pia anaziandika headlines zake kwenye kurasa za burudani.

Olamide amedondosha kichupa chake kipya kiitwacho Lagos Boys, producer wa ngoma hii anaitwa Pheelz, nimekusogezea wimbo huo hapa chini bonyeza play kuisikiliza.

 Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook naInstagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments