Habari za Mastaa

Picha na taarifa za ufunguzi wa mashindano ya Winter Olympic huko Sochi nchini Russia.

on

15
Hadi sherehe za ufunguzi zinafanyika inakadiliwa kuwa karibia dola za kimarekani billioni 51 zimetumika katika kufanya maandalizi ya winter Olympics huko Sochi Russia.

Baadhi ya matumizi yake ni miundombinu ya utalii ambayo imetumia dola bilioni 2.6, viwanja vya michezo dola millioni 500,miundombinu ya usafiri imetumika dola milioni 270, miundombinu ya nishati imetumika dola milioni 100 pamoja na matumizi mengine.

Hizi ni picha ya ufunguzi wa mashindano hayo ambayo yamefunguliwa rasmi 7/2 na rais wa Russia Vladimir Putin na yatahusisha mataifa 88 ikiwa na wanamichezo zaidi ya 2800.
1
2
3
4
5
6
7
8
9 10
11
12
13

14

15

16

17

18

19

20

Tupia Comments