Habari za Mastaa

Omah Lay katuletea hii video mpya itazame hapa ‘Attention’

on

Ni Mkali kutokea Nigeria, Omay Lay ambae time hii ametuletea hii video mpya ya wake aliyomshirikisha Justin Bieber.

Unaweza ukabonyeza play kuitazama video hii mpya

HARMONIZE AFIKA CHATO, ASHIRIKI KUMBUKIZI YA HAYATI JOHN POMBE MAGUFULI

Tupia Comments