Mix

PICHA 10: Magari yaliyotolewa na Serikali ya Oman kwa Tanzania

on

Leo May 5 2017 Serikali ya Oman kupitia kwa balozi wake wa Tanzania imetoa msaada wa magari mawili aina ya Land Cruiser VX V8 kwa Wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa na Waziri Mahiga ndio kayapokea mwenyewe.

Baada ya kuyapokea Waziri Mahiga amesema yatasaidia pia kwenye safari za Wizara hiyo >>>Kama mnavyofahamu tunahitaji usafiri wa mara kwa mara kati ya Dar e salaam na Dodoma, yatatusaidia’

‘Hata Diamond aliimba nidanganye, Serikali mliangalie hili’ –Zitto Kabwe, Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments