Habari za Mastaa

Hii ni nyingine mpya kutoka kwa Omarion; ‘I’m Up’ feat. French Montana na Kid Ink. (Video)

on

omary3

Msanii wa R&B Omarion kwenye headlines, baada ya kudondosha audio ya ‘I’m Up’ wimbo aliomshirikisha French Montana na Kid Ink miezi michache iliyopita, msanii huyo wa R&B amerudi kutupa offical video ya wimbo huo.

omary2

Single hii inapatikana kwenye album mpya ya Omarion iitwayo ‘Sex Playlist’ na kama bado hujabahatika kukutana na video ya wimbo huu, karibu uitazame hapa chini mtu wangu.

https://youtu.be/v6rjqAoFKwY

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Soma na hizi

Tupia Comments