on air with millardayo

Exclusive: Ommy Dimpoz alivyorushwa kichurachura na Wanajeshi pale Lugalo

on

Ommy Dimpoz ni staa mmiliki wa single ya ‘achia body’ ambayo inachezwa kwenye TV na Radio za Tanzania sasa hivi, wiki iliyopita Ommy alijikuta mikononi mwa Wanajeshi nje ya makao yao ya Lugalo na kupewa adhabu ya kuruka kichurachura, tazama hii video hapa chini ujue ilivyokuwa.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments