Habari za Mastaa

VIDEOMpya: Quick Rocka na OMG wanayo hii video nyingine kwaajili yako “Watasema”

on

Baada ya crew ya OMG kufanya poa na video yao “Uongo na Umbea” hapa wamekutana tena na boss wao, Quick Rocka mmiliki wa studio za Switch Records ambazo OMG wamesaini kufanya kazi chini ya lebel hiyo. Leo wameachia video yao mpya “Watasema” ambayo kuna sehemu wamesample wimbo wa TID “Watasema Sana”.

Nimekuwekea hapa chini bonyeza play kuitazama.

VIDEO: OMG kuhusu beef na Country Boy? Uhusiano wao na produza Mensen ukoje? Bonyeza play kutazama hapa chini.

Soma na hizi

Tupia Comments