Top Stories

LIVE: “Ombi la Tundu Lissu kuzuia Mbunge Mteule asiapishwe latupiliwa mbali”

on

AyoTV na millardayo.com imekusogezea taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Mawakili Mkuu wa Serikali kuhusiana na kilichodaiwa Mahakama kutupilia mbali ombi la Tundu Lissu la kuzuia Mbunge wa Mteule wa CCM wa Singida Mashariki asiapishwe.

TAARIFA JUU YA KIFO CHA MBALAMWEZI, MUHIMBILI KUUTAMBUA MWILI

Soma na hizi

Tupia Comments