Habari za Mastaa

Ommy Dimpoz kampost Ali Kiba Instagram watu wakatukana, baadae akapost hii video

on

Ommy DMwimbaji Ommy Dimpoz wa bongofleva yamemfika hapaaa na ikapelekea aamue tu kutoa ya moyoni mwake baada ya kupost picha ya tangazo la video mpya ya Ali Kiba kuonyeshwa TRACE TV June 28 2015.

Sasa ndugu zangu tukipost kuhusu Wasanii wenzetu mnatukana, tukikaa kimya tuna roho mbaya…. tufanyeje?? matusi tu hamjali kama watu wana wazazi unamtukania mzazi mwingine kafa, lakini kwa taarifa yenu hainiumi ng’o‘ – Ommy Dimpoz

Mtazame hapa chini…

Yamenifika Hapaaa 😂😂😂😂

A video posted by Dimples Kwa pozzz (@ommydimpoz) on


Comments comments 2Post iliyoyaleta yote haya ni hii hapa chini ambayo ilikua inawapa taarifa watu wajiandae kuipokea video mpya ya ‘chekecha‘ ya Ali Kiba kupitia TRACE TV.

Ommy 2ULIONA JINSI ALI KIBA ALIVYOPANDA DALADALA ALAFU MTU AKAMUULIZA KUHUSU DIAMOND? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI UONE.

Jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>> Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments