Michezo

Video: Hivi ndivyo wachezaji wa Chelsea walivyoicheza ‘TUPOGO’

on

6b4420429bef11e390950efdcbfb3c10_8Mchezaji wa timu ya vijana wa Chelsea, mtanzania Adam Nditi amempa shavu mwanamuziki Ommy Dimpoz baada ya kuwafundisha wachezaji wenzie kuucheza wimbo wa ‘TUPOGO’  kisha akawarekodi video na kuitupia kwenye mtandao wa Instagram. Tazama video inayowaonyesha wachezaji hao wakicheza Tupogo.

Tupia Comments