Habari za Mastaa

Hivi ndivyo Eric OMONDI alivyoirudia wimbo wote wa Diamond PLATNUMZ- Nasema Nawe (VIDEO)

on

ERICO

Mara ya kwanza niliona vipisi vya hii video kwenye ukurasa wa Eric Omondi wa Instagram.. nikaviweka hapa alafu nikawa na hamu sana kuiona video kamili.

Katika pitapita zangu nimekutana nayo video kamili, Eric Omondi kaifanya REMIX ya wimbo wa ‘Nasema Nawe‘ ya Diamond Platumz, yeye yake ameiita ‘Nabeba Mawe‘.

Najua utakua na comment yoyote kwenye hii mtu wangu.. ntafurahi kuona utakachoniandikia.

Tupia Comments