Habari za Mastaa

On Air: Zamaradi afunguka kwanini kamuweka mume kwenye bango (video+)

on

NI Zamaradi Mketema ambae time hii amefika katika studio za Millard zilizopo Palm Village Mikocheni.

“Bango lenye picha ya Mume wangu litakaa pale kwa mwezi mmoja, ni Mwanaume ambaye Mwanamke yeyote angetamani kuwa nae, wengine wanasema usimsifie Mwanaume ila kwangu ni tofauti, naishi kwa moment niliyopo kama ananifurahisha kwanini nisiseme?”- Zamaradi

Zamaradi amezungumza hayo kwenye mahojiano na Millard Ayo unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.

 

Soma na hizi

Tupia Comments