on air with millardayo

ON AIR: ‘Haikuwa rahisi, Jux aliniambia Mimi Mars anaweza’ Quick Rocka

on

Quick Rocka ameiachia Hitsong yake ya ‘Down‘ aliyomshirikisha Mrembo mpya kwenye game ya Bongofleva Mimi Mars , leo April 23 2017 amekutana On Air With Millard Ayo na amezungumza ni kwa nini alimpa collabo Mimi Mars kwenye mdundo wake mpya

Ulimiss hii ya OMG kundi la muziki lilovunja rekodi ya mauzo wasafi.com itazame hii video hapa chini…

Soma na hizi

Tupia Comments