on air with millardayo

On Air: ‘Nimepigiwa simu na wanaoimba HipHop ngumu wameniambia hii ni noma’ Jay Moe

on

Jay Moe ni moja kati ya wasanii wa longtime kwenye game ya Bongofleva na moja kati ya vitu ambavyo vimekuwa vikitrend ni baada ya baadhi ya wasanii wa midundo ya HipHop kubadilisha aina ya muziki waliokuwa wakifanya longtime, ‘Kigumu’

Unajua wengi wamekuwa wakisema kwanini sisi tunaimba rap kama ya sasa tumeacha kuimba kama wakina Nikki Mbishi lakini hata hao wanaoonekana wanaimba HipHop ngumu mtaani wananipigia simu na wananiambia huu mdundo mkali, fikiria mtu kama Nikki Mbishi anakupigia simu‘>>>Jay Moe

Ulimiss hii ya Babu Tale aliniambia nisitembee na Madee, Niende Ya Moto Band itazame hii video hapa chini…

 

Soma na hizi

Tupia Comments