on air with millardayo

Ridhiwani kuhusu Manji kukamatwa

on

Kwenye On Air With Millard Ayo leo April 23 2017 Ridhiwani Kikwete ambaye ni Mbunge wa Chalinze amezungumzia swala la Yusuph Manji ambaye alikamatwa kwa ajili ishu ya matumizi ya Dawa za Kulevya.

‘Sioni kama ni sawa kumkamata Yusuph Manji kuwa anatumia dawa za kulevya wakati kuna watu kama Ray C na kuna wengine wanapanga mstari kila siku Mwananyamala kwa ajili ya kuchukua Methadone’>>>Riddhiwani Kikwete.

Ulimiss hii ‘Ni kweli niliitwa kuhojiwa’ Ridhiwani Kikwete itazame hii video hapa chini…..

VIDEO: Simu J.Kikwete aliyompigia Ridhiwani baada ya kuona picha aliyopiga na Lowassa

Soma na hizi

Tupia Comments