Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: Petitman kafunguka alivyoachana na Esma “ni mke wangu” (+video)

on

Staa Petitman Wakuache amekaa amekaa kwenye  OnAIR with MillardAyo na kuongelea ishu zake mbalimbali ikiwemo ishu ya uhusiano wake na mdogo wa Diamond, Esma Platnumz ambapo kwa mara ya kwanza ameweka wazi suala la kuachana kwao.

Petitman anasema “Kwenye mahusiano kuna makosa, kila Binadamu ameumbwa lakini ana mapungufu yake, Mimi na Esma tuliishi miaka mitano siwezi weka hadharani yaliyotokea yule ni Mke wangu tumezaa nae, matatizo yapo ni kawaida” 

OnAir >>“Nimebadili dini na kuwa Muislamu, jina langu jipya ni ABDULMALIK” – BARAKA THE PRINCE

Soma na hizi

Tupia Comments