Ni video ambayo ndani yake wataonekana mastaa kama Lil Wyne na Drake ambapo hizi picha zilitoka wakati wa utengenezwaji wa video hii ya Onika Maraj a.k.a Nicki Minaj ambae December 8 mwaka huu atafikisha umri wa miaka 32.
Nicki Minaj na video zake…. hizi picha ni za mpya inayofata!

Leave a comment
Leave a comment