on air with millardayo

Video: Dili tano kubwa alizozipata Herieth Paul Marekani achana na Victoria Secret

on

Ni Model Mtanzania ambaye alihamia nchini Marekani akiwa na miaka 10 akitokea nchini Canada pia ni Model Mtanzania ambaye alilipwa Bilioni 1 za kitanzania kwa kutokea kwenye onyesho la Victoria Secret nchini Ufaransa. Leo March 6 2017 kwenye On Air With Millard Ayo amekubali kuzitaja dili tano kubwa alizozipata Marekani.

Nimepata Maybelline ambayo wanatengeneza vipodozi na pia nimebahatika kuwa Balozi wao  na nimefanya cover Nyingi za Vogue nchini Ufaransa, Vogue El Canada, Vogue El US na nimefanya Kazi za Tom Ford nimepata bahati ya kushinda kwenye studio yake Uingereza na pia umesikia kuwa nilipata Victoria Secret‘>>>Herieth Paul

Ulimiss Hii ya Mwigizaji Iren Uwoya alivyoguswa na kikundi cha wa kinaMama Ubungo DSM itazame hii video hapa chini..

Soma na hizi

Tupia Comments