Mix

Show mpya itayoanza kuonekana on Clouds TV.

on

Screen Shot 2014-03-22 at 2.49.04 PMClouds TV ambayo inapatikana kwenye ving’amuzi mbalimbali Tanzania, inayo furaha kukupa taarifa kwamba hii ni show mpya ambayo itaanza kuonekana 1st April 2014 na itakua ni Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa kumi na mbili mpaka saa tatu asubuhi.

Inaitwa 360… so kwa info zaidi jiunge na @Clouds_TV on twitter mtu wangu

Tupia Comments