Top Stories

“Viongozi wastaafu wanaongoza migogoro ni matapeli” RC Geita

on

Uongozi wa Mkoa wa Geita na Kagera leo wamekutanaa na Viongozi mbalimbali wa Mikoa hiyo katika Mkoa wa Kagera kwa ajili ya kujifunza na kupanga jinsi watakavyolinda mapori yanayopandishwa hadhi kuwa hifadhi ya Taifa ambayo ni Burigi, Kimisi, Biharamulo, Ibanda na Rumanyika.

Mkuu wa Mkoa wa Geita Eng.Robert Gabriel ametaja watu ambao wanaongoza kwa migogoro na jinsi watakavyowadhibiti.

Dakika 4 za Mbowe mbele ya Lowassa “tushindane kwa hoja, usitake nikusikilize wewe tu”

Soma na hizi

Tupia Comments