fB insta twitter

U-Heard: Alichojibu Madee kuhusu comment ya Zari kwenye picha yake

on

U-heard leo May 23, 2017 Soudy Brown ametusogezea moja ya story ambayo imekuwa gumzo mitandaoni kuhusu Zari ambaye ni mpenzi wa staa wa Bongofleva Diamondkuweka comment iliyoibua hisia tofauti kwenye picha ya Madee akiwa Studio za Wasafi.

Soudy amezungumza na Madee ili kujua zaidi kuhusu picha hiyo kuwa na comment nyingi lakini comment ya Zari imeonekana kuwa gumzo zaidi baada ya kuwaambia wamechafua office yake akiwataka waweke viatu chini kwa kuwa walikuwa wamekanyaga ukutani kama sehemu ya pozi la picha.

Bonyeza Play hapa chini kusikiliza Full story..

Mose Iyobo na Aunt Ezekiel walivyomfanyia birthday mtoto wao 

Soma na hizi

Tupia Comments