Mix

PICHA 15: Eneo la Club ambapo watu takribani 50 wameuawa shambulio la Kigaidi Marekani

on

June 12 2016 Wamarekani waliamka na habari za kushtukiza sana ambapo mauaji makubwa zaidi yametokea nchini humo baada ya kijana Omar Saddiqui Mateen mwenye miaka 29 kuingia club moja jimboni Florida na kufyatua risasi ambazo zilisababisha mauaji ya watu wasiopungua 50.

Taarifa zinasema kwamba kulikuwa na takribani watu 320 ndani ya klabu hiyo wakati tukio hilo linatokea na watu 100 walichukuliwa mateka, Mateen alipigwa risasi na maafisa na kufariki.

.

.

Mtuhumiwa wa mauaji hayo Omar Mateen

352F37AB00000578-0-image-a-6_1465773671891 352F39CE00000578-0-image-a-9_1465773696640 352F390500000578-0-image-a-8_1465773685576 352F391500000578-0-image-a-10_1465773717689 3531C4AE00000578-0-image-m-14_1465774183400

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

ULIKOSA MAZISHI YA WATU WATANO KATI SABA WALIOKATWA MAPANGA SENGEREMA MWANZA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments