Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: Kigwangala, Mr Blue, Hamorapa kwenye mazishi ya Baba wa Alikiba na Abdukiba

on

Baadhi ya watu maarufu walishiriki mazishi ya Baba mzazi wa wasanii Alikiba na Abdukiba ambapo baadhi ya watu hao ni pamoja na Dkt. Kigwangala, msanii Mr Blue, Dully Syeks, Mwana FA, Billnass na wengine wengi na katika hao wamezungumza kupitia AyoTV na millardayo.com.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO.

VIDEO: ALIKIBA NA ABDUKIBA WALIVYOMZIKA BABA YAO MAKABURI YA KISUTU DSM

Soma na hizi

Tupia Comments