Top Stories

EXCLUSIVE: Kutana na kijana mwenye miaka 22 anayetengeneza Robot

on

AyoTV na millardayo.com zimefanya mahujiano na Gibson Kawago mwenye umri wa miaka 22 ambaye anauwezo wa kutengeneza vifaa vya umeme vinavyoweza kujiongoza vyevyewe bila binadamu kuwepo (Roboti), Gibson amesimulia machache kuhusu maisha yake ikiwemo taaluma yake na kisha kuonesha jinsi anavyoweza kutengeneza vifaa hivyo.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama video.

VIDEO: MSANII ATAKAYETESA KWENYE BONGOFLEVA, ANATENGENEZA HADI ROBOT

VIDEO: AMBER LULU KUHUSU MASTAA WALIOFANYA VIZURI 2018

Soma na hizi

Tupia Comments