Michezo

Hizi ni picha za Mesut Ozil na Miss Uturuki zinazozua hofu kuhusu ukaribu wao

on

AMINE-GULSE

Miss Uturuki Amine Gulse

Picha ambazo zimekuwa zikizunguuka katika vyombo vya habari mbalimbali Uturuki zikimuonesha kiungo wa kimataifa wa Ujerumani anayeichezea klabu ya Arsenal ya Uingereza Mesut Ozil ameonekana akiwa na miss Uturuki kitu ambacho kinazua maswali mengi huenda wanamahusiano ya Kimapenzi.

mesut-ozil-getty_2830088b

Taarifa hizo zinakuja ikiwa masaa kadhaa yamepita  toka beki wa zamani wa klabu ya Manchester United Gary Neville ahoji kuhusu mchango wa kiungo huyo katika klabu ya Arsenal ya Uingereza kabla ya mechi ya Liverpool dhidi ya Arsenal ambayo ilimalizika kwa 0-0.

PAY-Mesut-Ozil (1)

PAY-Mesut-Ozil

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

 

Tupia Comments