Habari za Mastaa

MWANZO MWISHO: Lulu Diva asimulia alivyouza mgahawa wa Ferooz bila kulipwa hata shilingi

on

Ni mwimbaji Lulu Diva amesimulia sehemu ya safari ya maisha yake kabla ya kuingia kwenye muziki ambapo ameelezea enzi hizo alipokuwa akifanya kazi kwenye moja ya mgahawa aliokuwa akisimamia msanii Ferooz maeneo ya Mlimani City na alikuwa halipwi hata shilingi.

Kuipata taarifa hiyo kamili Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama Lulu Diva akisimulia.

VIDEO: VITUKO VYA STEVE NYERERE KWA OMMY DIMPOZ NI ISHU YA ‘VOKO’ TENA

ALICHOZUNGUMZA MSANII ALIYEMUANDIKIA BARUA DIAMOND ‘SIKUTEGEMEA, ALIFANYA ZAIDI’

Soma na hizi

Tupia Comments