Habari za Mastaa

VIDEO: Balaa la Nandy na live band kwenye stage Tanga

on

Usikuwa August 3, 2019 tamasha la msanii Nandy linalofahamika kwa jina la Nandy Festival limefanyika katika mkoa wa Tanga ambapo time hii ilikuwa ya kitofauti kidogo kwa kuwakutanisha wasanii wakike tupu kwenye jukwaa.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO ya show ya Nandy ilivyokuwa Tanga.

VIDEO: “MUME WANGU MTARAJIWA YUKO SWEDEN , NANDY ATAFIKA MBALI”- MASHAUZI

Soma na hizi

Tupia Comments