Habari za Mastaa

P Funk afunguka yanayoendelea kuhusu Paula na Kajala

on

Mtayarishaji wa Mkongwe wa Muziki Bongo, P Funk Majani amefunguka baada ya kulizwa kupitia kipindi cha XXL ya Clouds FM kuhusiana na ishu ya mtoto wake Paula pamoja na Kajala kutokana na yale yanayoendelea mtandaoni.

P Funk amesema …>> “Nilishawaambia tangu mwaka jana kwamba Mimi nilishajitoa, nilishanyoosha mikono kwa Mtoto (Paula), Mtoto anatafuta laana alishaniambia wewe sio Baba yangu, Kajala sio Familia yangu nilifanya uamuzi mbaya kuzaa na Mtu ambaye sio sahihi kuwa Mama,

“Yanayoendelea kwa sasa hayanihusu, Mtu ameshakuambia wewe sio Baba yangu utafanya nini utamlazimisha?” 

Bonyeza PLAY hapa chini kupata taarifa Kamili.

MENGINE ALIYOFUNGUKA P FUNK MAJANI KUHUSU WAZAZI WA KAJALA.. PLAY HAPA CHINI..

Soma na hizi

Tupia Comments