Habari za Mastaa

P Funk kuhusu maisha, Watoto wake 6, bongorecords, kumtisha Dogo Janja, bongofleva n.k

on

Exclusively on millardayo channels, leo kakaa God father wa Bongofleva Paul Matthysse a.k.a Halfani Majani, P Funk Majani… ambae mpaka sasa ni Baba wa Watoto 6 kutoka kwa Mama tofautitofauti.

P Funk ameongelea mengi sana ikiwemo makuzi ya Watoto wake akiwemo Paula, alichofanya baada ya kusikia Dogo Janja anammendea Paula, Bongo records kwa upana wake, Vichwa anavyovikubali kwenye bongofleva sasa hivi na mengine bonyeza play hapa chini kumtazama

EXCLUSIVE: JACQUELINE MENGI AFUNGUKA SIKU ZA MWISHO ZA DR. MENGI, KUZUIWA KABURINI, MALI ALIZOACHIWA NA MENGINE

EXCLUSIVE: ROMA ASIMULIA ALIVYOITWA CHATO KWA RAIS JPM “NILIFATWA NA GARI 4”

Soma na hizi

Tupia Comments