Habari za Mastaa

GOOD NEWS: Monalisa kaja na jipya kwa wanawake wanao tayarisha filamu (+video)

on

Siku ya leo February 12, 2018 mwigizaji Monalisa amezungumza na waandishi wa habari na kutazangaza good news aliyowaletea wanawake wakitanzania wanao jihusisha na sanaa haswa wale watayarishaji wa filamu wakike ambao watapata nafasi ya kuonesha kazi zao kwenye tamasha la AWAFEST  litakalo fanyika siku tatu hapa hapa bongo.

Bonyeza PLAY hapa chini kufahamu zaidi.

EXCLUSIVE: RUCK BABY MWENYE MAVAZI YA UTATA KAZUNGUMZA

Soma na hizi

Tupia Comments