AyoTV

VIDEO: Piere kapata shavu la ubalozi wa Hotel kafunguka, saa ya gharama kapewa na Wema

on

Piere ameendelea kupata mashavu siku baada ya siku toka ajipatie umaarufu kupitia mitandao ya kijamii kutokana na video zake za vituko alizokuwa akirekodiwa kusambaa zaidi, sasa March 14, 2018 Piere amepata dili la kupewa ubalozi wa Hoteli ambayo atakuwa akiitangaza hoteli hiyo kwa muda waliokubaliana na mmiliki.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO.

VIDEO: Piere asimulia bata la Kenya, kasema ‘Mimi siyo mlevi wa Taifa soon naenda Marekani’

Soma na hizi

Tupia Comments