Habari za Mastaa

Piere asimulia bata la Kenya, kasema ‘Mimi siyo mlevi wa Taifa soon naenda Marekani’

on

AyoTV na millardayo.com zimefanya mahojiano na Piere aliyechukua umaarufu sana mtandaoni kutokana na vituko vyake ambapo time hii amesimulia safari yake ya Kenya aliyoenda hivi karibuni na safari yake anayotarajia kusafiri kwenda Marekani huku akifunguka kuhusu kauli inayoendelea mitandaoni kuwa yeye ni ‘mlevi wa Taifa’

BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA VIDEO PIERE AKIFUNGUKA.

Soma na hizi

Tupia Comments