Hot News
Quick Links
Tume ya Uchaguzi nchini Kenya IEBC imemtangaza Makamu wa rais William Ruto kuwa Rais mteule. Tume ya Uchaguzi nchini Kenya IEBC imemtangaza makamu wa rais William Ruto kuwa rais mteule, kufuatia uchaguzi uliokuwa na ushindani mkali, akimshinda mwanasiasa wa muda mrefu na kiongozi wa upinzani Raila Odinga. Hata hivyo zoezi hilo limekumbwa na sintofahamu baada ya makamishna wanne wa tume…
Tume ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya(IEBC), imekamilisha mchakato wa uhakiki wa kura za urais Macho yote sasa ni kwa Mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati wakimsubiri atangaze matokeo. Wakati hayo yakijiri viongozi wa vyama vyote vya kisiasa walio katika ukumbi wa Bomas ambao ndio kituo kikuu cha kujumlisha kura wameonekana wakicheza nyimbo za dini, zinazotumbuizwa na kwaya katika ukumbi huo…
Tume ya Uchaguzi nchini Kenya iitwayo IEBC inatarajiwa kutangaza matokeo ya Urais leo Agosti 15, 2022. Ayo TV na Millardayo.com inakuletea matangazo moja kwa moja kutokea nchini Kenya. MATOKEO YA URAIS KENYA KUTANGAZWA LEO, MGOMBEA RUTO AWASILI UKUMBINI BOMA ‘KUSUBIRIA MATOKEO HAYO’
Tume ya Uchaguzi nchini Kenya IEBC imemtangaza Makamu wa rais William Ruto…
Tume ya Uchaguzi nchini Kenya IEBC imemtangaza Makamu wa rais William Ruto…
Tume ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya(IEBC), imekamilisha mchakato wa uhakiki wa…
Tume ya Uchaguzi nchini Kenya iitwayo IEBC inatarajiwa kutangaza matokeo ya Urais…
Agosti 13, 2022 ulichezwa mchezo wa Ngao wa Jamii kati ya Simba…
Club ya Ligi Kuu ya England Wolves iko katika mchakato wa kuleta…
Mzee Jonas Komba (78) Mkazi wa kijiji cha Mahanje Halmashauri ya Wilaya…
Kama utakuwa utakuwa unakumbuka kumekuwa na mijadala mbalimbal mitandaoni kuhusu Jezi za…
Agosti 13, 2022 ulichezwa mchezo wa Ngao wa Jamii kati ya Simba…