Breaking: William Ruto atangazwa kuwa Rais Kenya, Shangwe na furaha zaibuka mitaani Nairobi

Tume ya Uchaguzi nchini Kenya IEBC imemtangaza Makamu wa rais William Ruto kuwa Rais mteule. Tume ya Uchaguzi nchini Kenya IEBC imemtangaza makamu wa rais William Ruto kuwa rais mteule, kufuatia uchaguzi uliokuwa na ushindani mkali, akimshinda mwanasiasa wa muda mrefu na kiongozi wa upinzani Raila Odinga. Hata hivyo zoezi hilo limekumbwa na sintofahamu baada ya makamishna wanne wa tume

August 15, 2022

Matokeo ya Urais Kenya kutangazwa leo, Mgombea Ruto awasili Ukumbini Boma ‘Kusubiria matokeo hayo’

Tume ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya(IEBC), imekamilisha mchakato wa uhakiki wa kura za urais Macho yote sasa ni kwa Mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati wakimsubiri atangaze matokeo. Wakati hayo yakijiri viongozi wa vyama vyote vya kisiasa walio katika ukumbi wa Bomas ambao ndio kituo kikuu cha kujumlisha kura wameonekana wakicheza nyimbo za dini, zinazotumbuizwa na kwaya katika ukumbi huo

August 15, 2022

Live: Matokeo ya Urais nchini Kenya yanatangazwa muda huu

Tume ya Uchaguzi nchini Kenya iitwayo IEBC inatarajiwa kutangaza matokeo ya Urais leo Agosti 15, 2022. Ayo TV na Millardayo.com inakuletea matangazo  moja kwa moja kutokea nchini Kenya.   MATOKEO YA URAIS KENYA KUTANGAZWA LEO, MGOMBEA RUTO AWASILI UKUMBINI BOMA ‘KUSUBIRIA MATOKEO HAYO’

August 15, 2022
Ad image
Weather
28 °C
Tanzania
clear sky
28° _ 28°
28%
2 km/h

Follow US

LATEST NEWS

View All

Breaking: William Ruto atangazwa kuwa Rais Kenya, Shangwe na furaha zaibuka mitaani Nairobi

Tume ya Uchaguzi nchini Kenya IEBC imemtangaza Makamu wa rais William Ruto

Edwin TZA August 15, 2022

Matokeo ya Urais Kenya kutangazwa leo, Mgombea Ruto awasili Ukumbini Boma ‘Kusubiria matokeo hayo’

Tume ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya(IEBC), imekamilisha mchakato wa uhakiki wa

Edwin TZA August 15, 2022

Live: Matokeo ya Urais nchini Kenya yanatangazwa muda huu

Tume ya Uchaguzi nchini Kenya iitwayo IEBC inatarajiwa kutangaza matokeo ya Urais

Edwin TZA August 15, 2022

Manara na Wana-Yanga wakomaa kuwa kejeli Simba ‘Mlete Mzunguu’

Agosti 13, 2022 ulichezwa mchezo wa Ngao wa Jamii kati ya Simba

Edwin TZA August 15, 2022

Club ya Wolves ya England kuleta makocha wawili Tanzania

Club ya Ligi Kuu ya England Wolves iko katika mchakato wa kuleta

Rama Mwelondo TZA August 15, 2022

Azikwa akiwa hai huko Madaba, DC afika eneo la tukio, ‘Jambo hili ni la kinyama’

Mzee Jonas Komba (78) Mkazi wa kijiji cha Mahanje Halmashauri ya Wilaya

Edwin TZA August 15, 2022

Inter Milan wawapa Yanga cha kusema, Shaffi Dauda atia neno, Manara apigilia msumari

Kama utakuwa utakuwa unakumbuka kumekuwa na mijadala mbalimbal mitandaoni kuhusu Jezi za

Edwin TZA August 15, 2022

Barbara awatuliza mashabiki wa Simba, wataka Mzungu aachwe wana mashabiki na mbinu za Kocha

Agosti 13, 2022 ulichezwa mchezo wa Ngao wa Jamii kati ya Simba

Edwin TZA August 15, 2022
ADVERTISE HERE