Utacheka: Mwijaku apanda gari la Diamond ‘Rolls Royce’, Zuchu aangua kicheko, Baba Levo atia neno

Leo August 19, 2022 Mkurugenzi wa Wasafi msanii Diamond Platnumz ameingia makubaliano ya kudhamini mashindano ya mpira wa Miguu ya Ndondo Cup kupitia Kampuni yake ya michezo ya kubashiri ya Wasafi Bet. Baada hafla hiyo kuisha Mwijaku alionekana amepanda kwenye gari la Diamond ‘Rolls Royce’ huku wengi wakawa na maswali yasiyo na majibu, sasa unaweza ukabonyeza play kufahamu stori kamili hapa.

August 19, 2022

Picha: Diamond ameingia makubaliano ya kudhamini mashindano ya Ndondo Cup

Leo August 19, 2022 Mkurugenzi wa Wasafi msanii Diamond Platnumz ameingia makubaliano ya kudhamini mashindano ya mpira wa Miguu ya Ndondo Cup kupitia Kampuni yake ya michezo ya kubashiri ya Wasafi Bet. Diamond ametangaza hayo Kwenye mkutano wake na Waandishi wa Habari ambapo ametangaza kuwa kuanzia Leo Wasafi Bet kupitia Bingwa la Mtaa itakuwa sehemu ya wadhamini kwenye mchezo huo.

August 19, 2022

Kuelekea Sensa Agosti 23, Mbunge wa Jimbo la Ushtu anena hili kwa Wananchi wake

Siku moja baada ya Serikali kutangaza tarehe 23 Agosti kuwa siku ya mapumziko kitaifa kwaajili ya Sensa ya watu na makazi mbunge wa jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani amewaomba wananchi kutofacha watu wenye Ulemavu katika zoezi hilo kwa kisingizio cha Imani potefu. Amesema hayo kwenye mkutano wa hadhara wa kuhamasisha Sensa katika kata ya Ulowa Wilaya ya Kahama ambapo amewaomba

August 19, 2022
Ad image
Weather
28 °C
Tanzania
clear sky
28° _ 28°
28%
2 km/h

Follow US

LATEST NEWS

View All

Utacheka: Mwijaku apanda gari la Diamond ‘Rolls Royce’, Zuchu aangua kicheko, Baba Levo atia neno

Leo August 19, 2022 Mkurugenzi wa Wasafi msanii Diamond Platnumz ameingia makubaliano

Edwin TZA August 19, 2022

Picha: Diamond ameingia makubaliano ya kudhamini mashindano ya Ndondo Cup

Leo August 19, 2022 Mkurugenzi wa Wasafi msanii Diamond Platnumz ameingia makubaliano

Edwin TZA August 19, 2022

Kuelekea Sensa Agosti 23, Mbunge wa Jimbo la Ushtu anena hili kwa Wananchi wake

Siku moja baada ya Serikali kutangaza tarehe 23 Agosti kuwa siku ya

Edwin TZA August 19, 2022

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 19, 2022

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam August 19,

Millard Ayo August 19, 2022

Kiwanda cha Chai Mponde Ujenzi wake umefikia 95%

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi,Vijana, Ajira, na Watu Wenye

Rama Mwelondo TZA August 18, 2022

Ajali ya Basi yaua watano Singida, Polisi azungumza hali ya Majeruhi

Watu watano wamefariki dunia akiwemo Mtoto mdogo katika ajali ya gari la

Edwin TZA August 18, 2022

Huyu ndiye Rais aliyekataa mshahara wake kwa miezi nane, Ukali wake baada ya meya kununuliwa VX

Ilikuwa kujaribu bahati ya mara ya sita kwa Hakainde Hichilema, ambaye hatimaye

Edwin TZA August 18, 2022

Utacheka vituko vya RC Makongoro, agusia Uongozi wa JPM, “Sijaambulia kitu, ila Mama kanipa heshima”

Ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara , Makongoro Nyerere ambae safari hii

Edwin TZA August 18, 2022
ADVERTISE HERE