Hot News
Quick Links
Kuelekea katika mchezo wa Ngao ya jamii kati ya Yanga na Simba unaochezwa leo Agosti 13, 2022 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa. Rais wa heshima wa Simba SC, MO Dewji jana alikutana na viongozi wa Simba pamoja na Wachezaji kuzungumza kuhusu mambo yanayohusu timu pamoja na kuelekea mechi ya leo dhidi ya watani wao wa Jadi yaani Yanga.
Kuelekea katika mchezo wa ngao ya jamii kati ya Yanga na Simba unaochezwa leo Agosti 13, 2022 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa. Millardayo.com nimekusogezea picha kadhaa ushuhudie kile kinachojiri muda huu.
Mbali na Kwamba Msanii wa Nigeria, Kizz Daniel aliwakwaza Watanzania kwa yale yaliyotokea lakini Agosti 12, 2022 aliweza kufuta maumivu ya wengi baada ya kutoa burudani isiyopungua ndani ya dakika 45 katika Ukumbi wa Warehouse Nextdoor Arena uliopo Masaki Dar es Salaam.
Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro linamshikilia Msafiri Nassibu mkazi wa Mkazi wa…
Kuelekea katika mchezo wa Ngao ya jamii kati ya Yanga na Simba…
Kuelekea katika mchezo wa ngao ya jamii kati ya Yanga na Simba…
Mbali na Kwamba Msanii wa Nigeria, Kizz Daniel aliwakwaza Watanzania kwa yale…
Ni Mrembo Hamisa Mobetto ambae time hii amemiliki vichwa vya habari baada…
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam August 13,…
Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro linamshikilia Msafiri Nassibu mkazi wa Mkazi wa…
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, (TFF) linawaomba wadau kupuuza taarifa potofu…
Ayo TV & Millardayo.com tumekuletea Simulizi inayomuhusu msanii wa Nigeria mwenye hit…