Kampuni ya URHOME yapewa siku 3 “Yako wapi mabati 2,176 hayana ubora”

SHIRIKA la Viwango Tanzania limeiandikia barua kampuni ya uagizaji na usambazaji wa mabati nchini URHOME Company Limited kuhakikisha ndani ya siku tatu wamewapatia taarifa ya mabati 2176 kati 125280 yapo wapi baada ya kufanyiwa ukaguzi na kugundulika hayajakidhi viwango. Akizungumza na waandishi wa habari leo Septemba 30  Jijini Dar es Salaam, Meneja wa uthibiti wa Shehena zinazoingia na kutoka nchini

September 30, 2022

“Chunguzeni vumbi la kongo” Rais Samia

“Lishe bora ni muhimu kwa Jamii, Wajawazito tunawapa lishe bora ili watoe Watoto wenye afya lakini Watoto wakizaliwa wanatakiwa pia kutunzwa na hata wakifika umri wa balehe wanapaswa kutunzwa ili wazae Watoto wenye afya ila Watoto balehe tufanye tafiti tunakosea wapi? kwanini wanakuwa na lishe mbovu? je ni masuala yaliyoingia ya mitindo? nataka niwe sijui na six packs!? nataka sijui

September 30, 2022

Magari ya Maafisa Elimu Rais Samia azindua

Rais Samia leo amekata utepe kuzindua magari 50 kati ya 200 ya Maafisa Elimu Sekondari nchini na pikipiki 50 kati ya 517 za Maafisa Lishe kwa ajili ya kuimarisha utoaji wa Huduma za Afya Msingi na Elimu Sekondari kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini. Rais Samia amezindua magari hayo leo wakati akishiriki hafla ya utiaji saini Mkataba wa Usimamizi wa

September 30, 2022
Ad image

TOP STORIES

Kampuni ya URHOME yapewa siku 3 “Yako wapi mabati 2,176 hayana ubora”

SHIRIKA la Viwango Tanzania limeiandikia barua kampuni ya uagizaji na usambazaji wa

Pascal Mwakyoma TZA September 30, 2022
Weather
28 °C
Tanzania
clear sky
28° _ 28°
28%
2 km/h

Follow US

LATEST NEWS

View All

Kampuni ya URHOME yapewa siku 3 “Yako wapi mabati 2,176 hayana ubora”

SHIRIKA la Viwango Tanzania limeiandikia barua kampuni ya uagizaji na usambazaji wa

Pascal Mwakyoma TZA September 30, 2022

“Chunguzeni vumbi la kongo” Rais Samia

“Lishe bora ni muhimu kwa Jamii, Wajawazito tunawapa lishe bora ili watoe

Pascal Mwakyoma TZA September 30, 2022

Magari ya Maafisa Elimu Rais Samia azindua

Rais Samia leo amekata utepe kuzindua magari 50 kati ya 200 ya

Pascal Mwakyoma TZA September 30, 2022

Rais Samia awaonya Ma-DC

Rais Samia ameshiriki hafla ya utiaji saini Mkataba wa Usimamizi wa Shughuli za

Pascal Mwakyoma TZA September 30, 2022

Gumzo vumbi la Congo na supu ya Pweza, Rais Samia ashindwa kujizuia “Tunataka mashababi” (video+)

Rais Samia leo ameshiriki katika hafla ya utiaji saini Mkataba wa Usimamizi

Edwin TZA September 30, 2022

Taasisi za fedha zatakiwa kutoa mikopo nafuu

Serikali kupitia Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara imewataka wadau wa taasisi

Pascal Mwakyoma TZA September 30, 2022

Picha: Azania Group wazindua chapa yake mpya ya Unga, DC Jokate kushuhudia anena haya

Azania Group ni moja ya chapa kubwa na maarufu ya bidhaa za

Edwin TZA September 30, 2022

Video: Alikiba amjibu Baraka the Prince, “Sawa kama ananichukia, mimi sijali, moyo wake umechagua”

Ni Headlines za mkali kutokea Bongo Flevani, Alikiba ambae time hii amehojiwa

Edwin TZA September 30, 2022
ADVERTISE HERE