Hot News
Quick Links
Leo August 19, 2022 Mkurugenzi wa Wasafi msanii Diamond Platnumz ameingia makubaliano ya kudhamini mashindano ya mpira wa Miguu ya Ndondo Cup kupitia Kampuni yake ya michezo ya kubashiri ya Wasafi Bet. Baada hafla hiyo kuisha Mwijaku alionekana amepanda kwenye gari la Diamond ‘Rolls Royce’ huku wengi wakawa na maswali yasiyo na majibu, sasa unaweza ukabonyeza play kufahamu stori kamili hapa.
Leo August 19, 2022 Mkurugenzi wa Wasafi msanii Diamond Platnumz ameingia makubaliano ya kudhamini mashindano ya mpira wa Miguu ya Ndondo Cup kupitia Kampuni yake ya michezo ya kubashiri ya Wasafi Bet. Diamond ametangaza hayo Kwenye mkutano wake na Waandishi wa Habari ambapo ametangaza kuwa kuanzia Leo Wasafi Bet kupitia Bingwa la Mtaa itakuwa sehemu ya wadhamini kwenye mchezo huo.
Siku moja baada ya Serikali kutangaza tarehe 23 Agosti kuwa siku ya mapumziko kitaifa kwaajili ya Sensa ya watu na makazi mbunge wa jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani amewaomba wananchi kutofacha watu wenye Ulemavu katika zoezi hilo kwa kisingizio cha Imani potefu. Amesema hayo kwenye mkutano wa hadhara wa kuhamasisha Sensa katika kata ya Ulowa Wilaya ya Kahama ambapo amewaomba…
Siku moja baada ya Serikali kutangaza tarehe 23 Agosti kuwa siku ya…
Leo August 19, 2022 Mkurugenzi wa Wasafi msanii Diamond Platnumz ameingia makubaliano…
Leo August 19, 2022 Mkurugenzi wa Wasafi msanii Diamond Platnumz ameingia makubaliano…
Siku moja baada ya Serikali kutangaza tarehe 23 Agosti kuwa siku ya…
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam August 19,…
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi,Vijana, Ajira, na Watu Wenye…
Watu watano wamefariki dunia akiwemo Mtoto mdogo katika ajali ya gari la…
Ilikuwa kujaribu bahati ya mara ya sita kwa Hakainde Hichilema, ambaye hatimaye…
Ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara , Makongoro Nyerere ambae safari hii…