Mix

Paul Makonda kaongeza siku za bure kupanda Mabasi ya Haraka kwa kila Mwanadareslaam (+Pichaz)

on

May 11 2016 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda leo amejumuika na wananchi wa Dar es salaam kuteleza pamoja kwenye usafiri wa mabasi yaendayo haraka kutokea Kariakoo mpaka Kimara mwisho.

Aidha Paul Makonda ameongeza siku za wananchi kupanda bure mabasi hayo mpaka siku ya Jumatatu May 16 2016 baada ya siku mbili zilizotolewa awali.

3X6A8739

3X6A8754 3X6A8763 3X6A8771 3X6A8833 3X6A8806 3X6A8804 3X6A8778 3X6A8731 3X6A8724

ULIKOSA KUTANGAZWA KWA NAULI ZA MABASI MAPYA YA HARAKA DAR ES SALAAM? UNAWEZA KUTAZAMA VIDEO HII HAPA CHINI. 

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE 

Soma na hizi

Tupia Comments