Michezo

Pambano la Ubingwa wa Dunia kufanyika Tanga, mpinzani wa Salim Mtango awasili

on

Rais wa TPBC Yassin Abdalla “Ostadhi” ameongea na waandishi habari leo kuelekea pambano la Ubingwa wa Dunia UBO baada ya kuwasili kwa bondia mthailand Suriya Tatakhum atakayepambana na mtanzania Salim Mtango jijini Tanga usiku wa January 31 2020.

Pambano hilo linafanyika ikiwa ni siku chache zimepita toka bondia Hassan Mwakinyo kupambana na Arnel Tinampay kutoka Philipin, Ostadhi anaamini mabondia kutokea Asia ni mahiri na kipimo tosha kwa mabondia wa Tanzania.

VIDEO: RAHA ILIYOJE !!! BABA MZAZI WA SAMATTA, HAKULALA ANACHEZA MUZIKU UTAMBULISHO WA ASTON VILLA

Soma na hizi

Tupia Comments