AyoTV

MWANZO MWISHO: Shuhuda asimulia kifo cha Pancho Latino kilivyotokea Mbudya

on

Mtayarishaji kutoka tasnia ya Bongo Fleva,  Pancho Latino ambae alifanya kazi kwenye studio mbalimbali ikiwemo kwa Dully Sykes na Hermy B za B Hit’z amefariki jioni ya leo kwenye kisiwa cha Mbudya Dar es Salaam.

Ayo TV na millardayo.com imempata shuhuda aliyejitambulisha kwa jina la Captain Upepo ambaye amesimulia mwanzo mwisho kile alichokishuhudia. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama.

BREAKING: Producer Pancho Latino amefariki Dunia leo

Soma na hizi

Tupia Comments