Premier Bet
TMDA Ad

BreakingNews

Story kuhusu kikundi cha ‘Panya road’ kuvamia maeneo mbalimbali Dar…

on

Breaking_News1

Huenda umepokea simu, sms, au umesoma story zilizoenea kwenye mitandao kuhusu taarifa za kikundi cha wezi wanaojiita Panya Road kuvamia maeneo mbalimbali na kupora vitu, ikiwemo maeneo ya Sinza na Mwananyamala, pamoja na kujeruhi watu.

millardayo.com inaendelea kufuatilia kuhusu tukio hilo, ikiwemo kumtafuta Kamanda wa Polisi Dar, nitakufahamisha kinachoendelea kuhusu tukio hilo.

Hizi ni baadhi ya tweets zilizonifikishia taarifa hiyo.

Tupia Comments