Michezo

Picha 10 za Msenegal wa Simba alivyotua Dar es Salaam leo..

on

Mshambuliaji wa kimataifa wa Senegal Papa Niang ambaye amekuja katika klabu ya Simba Ijumaa ya August 21 kuja kujiunga na wekundu wa msimbazi Simba, Papa amewasili na tayari yupo katika Hotel aliyopangiwa kufikia… Uongozi wa Simba ulitoa dakika chache kwa timu ya millardayo.com kupiga nae Exclusive Interview.

DSC_0159 - Copy

Ikumbukwe kuwa Papa Niang ni ndugu wa mshambuliaji wa kimataifa wa Senegal, Mamadou Niang ambaye amewahi kuitumikia klabu ya Olympique Marseille ya Ufaransa lakini pia Mamadou Niang ambaye ni kaka wa Papa Niang alikuwa mmoja ya mastaa wa Senegal walioiangusha Taifa Stars kwa goli 4-0 Jijini Dakar Senegal kipindi hicho Stars ilikuwa chini ya kocha Mbrazil, Marcio Maximo.

Hizi ni picha nyingine za Papa Niang akiwa katika hotel aliyofikia Dar Es Salaam

DSC_0163

DSC_0166

DSC_0167

DSC_0169

DSC_0171

DSC_0175

DSC_0185

Time ya Exclusive Interview ambayo utasogezewa kwenye #AyoTv pamoja na kwenye Amplifaya ya Clouds FM.

DSC_0186

DSC_0192

DSCN9053

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments