AyoTV

VIDEO: Maswali 9 ya papo kwa hapo aliyoulizwa Waziri Mkuu Bungeni

on

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alikuwa Bungeni leo June 15, 2017 ambapo kabla ya kuendelea na taratibu nyingine za Mkutano wa Saba wa Bunge la Kumi na Moja mjini Dodoma, aliulizwa maswali Tisa ya papo kwa hapo na hapa nimekusogezea yote…

VIDEO: Maazimio ya Wabunge baada ya Maamuzi ya Rais JPM 

Soma na hizi

Tupia Comments