Top Stories

PART 1: Nimekuwa tapeli na Mwalimu feki kwa muda, mmoja aliua

on

Costantine Sagire ni mzaliwa wa Kijiji cha Stoo Bunda Mkoa wa Mara umri wake ni miaka 25 amesoma hadi nganzi ya Sekondari baada ya kufeli matokeo ya kidato cha nne aliamua kufunga safari hadi Mwanza kutafuta maisha na baada ya kuona maisha yanakuwa magumu alianza kufanya utapeli kwa watu kabla ya kuwa Mwalimu feki akifundisha masomo ya Sayansi Shule moja Mwanza.

BILIONEA MPYA AONGEA NA RAIS, MAGUFULI ASHINDWA VUMILIA, “ONGEZA MKE MSUKUMA”

Soma na hizi

Tupia Comments