Duniani

VIDEO: Top 10 ya sherehe za gharama zaidi zilizowahi kufanyika, moja ni harusi ya Staa wa Man United

on

Nimekutana nazo hizi sherehe 10 ambazo zimewahi kuwa na bajeti kubwa zaidi moja katika hizo ipo harusi ya staa wa Machester United Wyne Rooney ambayo imeshika nafasi ya 7 ikiwa na bajeti ya Dola MILIONI 7.

#10 Harusi ya Liza Minnelli ~ Bajeti ya dola MILIONI 3.5

liza-wedding-08jun09

Pale Michael Jackson anapokuwa Bestman usitegemee hii sherehe isiingie Top ten

#9 Harusi ya Binti wa Bill Clinton ~ Bajeti ya dola MILIONI 5

clinton

#8 Sherehe ya kuzaliwa ya David Bonderman ~ bajeti ya Dola MILIONI 7

2_david_bonderman

#7 Harusi ya Wayne Rooney ~ Bajeti ya Dola MILIONI 7

roony

#6 Sherehe ya Elizabeth Brooks ya kutimiza miaka 13 ~ Bajeti ya Dola MILIONI 10

6

#5 Sherehe ya miaka 50 ya kuzaliwa Sultani wa Brunei~ Bajeti ya Dola MILIONI 27,2

5

#4 Ufunguzi wa Hotel ya Atlantis Dubai ~ Bajeti ya Dola MILIONI 31

4

#3 Harusi ya mtoto wa kipekee katika familia ya kifalme ya Abu Dhabi ~ Bajeti ya Dola MILIONI 45

3

#2 Harusi ya Steel Tycoon Lakshmi, binti wa Mittal ~ Bajeti ya Dola MILIONI 60

2

#1 Harusi ya kitajiri ya William na Kate William  ~ Bajeti ya Dola MILIONI 70

1

Unaweza kuangalia video hii hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

ULIIKOSA HII YA SNURA ‘SIJAONEWA ILA KUNA HIVI VITU NIMEJIFUNZA’? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI 

Soma na hizi

Tupia Comments