Mix

Inawezekana na gari lako ni Passo lakini halivutii kama haya mengine 6

on

Wanasema gari ni mtu mwenyewe, katika utafiti wa harakaharaka wa macho nimegundua miongoni mwa magari mengi yanayotumika na Watanzania sasa hivi ni pamoja na Passo ambayo inasifika kwa kuwa na nafasi nzuri ndani lakini pia utumiaji wa mafuta ni mdogo, vilevile spea kupatikana ni rahisi.

Pamoja na kwamba unaweza kufurahi umepata gari ambalo halitumii sana pesa zako, unaweza kutumia pesa zako kidogo kulibadilisha likavutia zaidi na ukajiondoa kwenye list ya Watanzania ambao wengi wanaonekana huwa hawaongezi chochote kwenye kulifanya gari liwe na mvuto, yani huwa wanabaki nalo hivyohivyo baada ya kulinunua.

Hizi picha hapa chini ni za Passo sita ambazo nimekutana nazo, kidogo wamiliki wake wamezi-pimp na kuwa na mvuto zaidi ya walivyozinunua.

passo 5

passo 6

Pamoja na kwamba gari linaweza kuwa na mvuto kwa kufanyiwa mabadiliko kwenye vitu vingi, bado muonekano wa matairi unatajwa kuwa kivutio namba moja kinachoonyesha utofauti wa gari lako na mengine.

paso 3

paso 7

paso 8

paso 5

paso 4

paso 12

passo 2

passo 3

Ipi imekuvutia kati ya hizi? mabadiliko unayoyataka kwenye gari lako yanaweza kufanyika Tanzania au unaponunua gari kwenye mtandao unaweza kuongeza pesa na kuomba wali-pimp hukohuko kabla halijaletwa Tanzania.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments