Top Stories

Paul Makonda afika katika balozi za Umoja wa falme za kiarabu

on

Mkuu wa Mkoa Mstaafu wa Dar es salaam, Paul Makonda amefika katika Ubalozi wa Umoja wa Falme Za Kiarabu nchini na kutia saini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Hayati Sheikh Khalifa Bin Zayed Al Nahyan, Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu.

Paul makonda amemshukuru Balozi Khalifa Almarzouqi kwa ushirikiano wake katika kukuza mahusiano baina ya Tanzania na Umoja wa Falme Za Kiarabu.

Tupia Comments