Michezo

Paulo Dybala apona corona

on

Staa wa Juventus Paulo Dybala amepona virusi vya corona baada ya kusumbuliwa kwa muda mrefu.

Dybala awali alipimwa mara nne corona na kukutwa bado yupo na maambukizi kitu ambacho alieleza kilikuwa kikimtesa.

Kama utakuwa unakumbuka vizuri March 21 Dybala na mpenzi wake Oriana Sabatini ndio waligundulika kuwa na maambukizi kwa mara ya kwanza.

Soma na hizi

Tupia Comments