aada ya Mwigizaji Staa Kajala Masanja jana Agosti 9, 2023 kufunguka kwenye mkutano wake na Waandishi wa Habari kuhusu yanayoendelea mitandaoni kumuhusu yeye na EX wake Harmonize @harmonize_tz ambapo amekiri kwamba ni kweli miezi miwili kabla hajaachana na Harmonize alikuwa akichukua 10% kutoka kwenye kila hela aliyokuwa akiingiza Harmonize.
Sasa leo Agosti 10, 2023 Harmonize amejitokeza na kufunguka yote tusiyoyajua na baada ya kuongea yale tusiyoyajua sasa pia Mwigizaji Faiza Ally ane amejitokeza kuamua kuwa upande wa Harmonize na kuahidi kuwa mtetezi wa Wanaume wote. stori kamili bonyezap play kufahamu zaidi.